Swahili
Home » Picha ya mwana habari aliye okoa maisha ya mtoto katika moto
HABARI

Picha ya mwana habari aliye okoa maisha ya mtoto katika moto

Vita za Syria huchukuwa muda murefu karibu miaka saba, watu wengi hupoteza maisha, ilikuwa vigumu kuona mtoto akilalamika akitafuta msaada ndani ya moto mkubwa na ukiona kifo kinamkaribia, hayo ni maneno ya mwana habari Abd Alkader Habak.

Picha hii huonyesha jinsi mtoto aliumia wakati yeye alikuwa akifuatilia kazi yake ya habari katika vita ya Syria wakati gari zilirushiwa bomu, ndipo Abd Alkader Habak akatoa mtoto katika gari ambayo ilikuwa ikiwaka moto, picha hiyo katolewa na utangazaji habari wa Syria pamoja na kundi la wanahabari Anti-Regime Journalists and Activists.

umunyamakuru1
Hapo anasikitishwa na mtoto alioye kufa na moto

Hayo kasukuma wanahabari wengine kwenda kuwasaidia watu wengine ambao walikuwa wameruhiwa katika gari hiyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwana habari huyo alisema kuwa alikokota mtoto wa kwanza akamkuta amefariki ndipo akokota mwengine ayekuwa hai na kumupeleka kwa gari ya matibabu (ambulance) iliyo kuwa karibu hapo. Katika mlipuko huo watu 126 walipoteza maisha wengi wakiwa watoto.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com