kwamamaza 7

Picha ambazo huonyesha Miss Akiwacu Colombe akivaa “Bikini” katika Miss Supranational

0

tarehe 22 Nonemba 2016 usiku ndipo wasichana ambo huwania taji ya Miss Supranational walijitokeza wakivaa  ‘Bikini’ na walipewa alama kwa ajili ya hayo.

Alama hizo zitajumulishwa kwenye alama ambazo zitapatikana kwa kura itakayofanyika kwenye mtandao ili kupatikana katika 20 wa kwanza.

Miss Akiwacu Colombe anayeshimamiya nchi ya Rwanda bila hofu naye alijitokeza akivaa kama wengine ijapo kuwa kuna wengine ambao waliona haya kuvaa vazi hilo la bikini. Mshindi wa Miss Supranational ataonekana tarehe 2 Disemba 2016 mjini Krynica-Zdrój nchi Pologne
Akiwacu Colombe katika kanzu ndefu nzuri sana

Katika mavazi ya kuogelea

Picha zilipigwa na Milton Mieloch

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.