kwamamaza 7

Picha ambazo huonyesha mazishi ya waziri Emmanuel Niyonkuru aliye uawa

0

Waziri Emmanuel Niyonkuru aliye uawa na watu wenye silaha alizikwa jana tarehe 10 Juanuri 2017, kwenye mazishi palikua wahehimiwa wengi wa Burundi pakiwemo rais Nkurunziza, wenye kusimamia nchi zao Burundi pamoja na Gavana wa Kivu ya Kusini ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

burundi burundi1 burundi2 burundi3 burundi4 burundi5 burundi6 burundi7 burundi8 burundi9 burundi10

Bado hajakua waziri alikua mfanya kazi katika benki kuu ya nchi Burundi (BRB) miaka 23, tangu 1992 mpaka 2015, alipo badirishwa akawa waziri tangu 2015 hadi Januari 2017.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.