Swahili
Home » Pallaso achoka kuishi dunia ya uongo
BURURUDANI HABARI

Pallaso achoka kuishi dunia ya uongo

Msanii kutoka Uganda Pallaso aka Pius Mayanja ameweka wazi kwamba amechoka kuishi dunia yenye udanganyifu,kutoaminiana.

Kupitia mitandao ya kijamii,msanii huyu ameleza namna mbavyo anahisi joto la nguvu kutoka angani na kuwa mishororo za nyimbo zake ni kioo cha maisha yake,Pallaso ameandika”Nahisi mwoto unaoweza kuasha nyota,nachoka kuishi maisha ya kudanganya na ndoto zisizomalizika huku duniani”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ni baada yake kutia nje wimbo wake mpya ‘Soma’ akihamasisha watoto kusoma na kuonyesha mpenziwake mpya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com