kwamamaza 7

Padri Ubaldi atunga filamu itakayoboresha umoja na ushirikiano kwa Wanyarwanda

0

Padri Ubaldi Rugirangoga ameweka hadharani filamu kwa jina ‘Forgiveness,the secret of peace’yaani msamaha,siri ya amani inayotarajia kuboresha umoja na ushirikiano miongoni mwa Wanyarwanda.

Filamu hii ilitazamwa mala ya kwanza kwenye parokia ya Mushaka,kusini magharibi mwa nchi.Inazingatia ujumbe wa kuwa kutoa msamaha kama njia ya umoja na ushirikiano.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine inaonyesha wathiriwa wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 waliokuwa na kiwewe waliopona baada ya kueleza lililokuwa moyoni.

Pascal Mugarura  ambaye ni mkazi na mkristo wa parokia hii ametangazia KTPress kwamba filamu hii itawasaidia mno walioshiriki na wathiriwa wa mauaji ya kimbali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Padri Ubaldi Rugirangoga ni mwathiriwa wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994,alitia fola kwenye mambo ya kutoa msamaha na kipaji cha kuponya maradhi kupitia sala.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.