kwamamaza 7

Padri Kabarira kufaliki nchini ufaransa

0

Habari ya kifo cha huyu Padri aliyekuwa anashutumiwa mauaji ya kimbari(Genocide) dhidi ya watutsi, imepatikana leo kutoka nchini Ufaransa alikuwa anaishimo.

Habari hizo husema Baba Kabarira alikuwa na ugonjwa wa Moyo, kifo kilitokea mjini Trappes nchini humo. Huyu raia wa Rwanda, ni mzaliwa wa mkowa wa Gikongoro, wilaya Nyamagabe ya kisasa. Alizaliwa mwaka 1954 mtaani Cyanika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakati wa Genocide,huyu Padri alikuwa anatumika kati ya Shule la majeshi wadogo la Butare(ESO kwa ufupi). Hapo ndipo alihusikiana na vitendo vya mauaji: ushirikiano katika mauaji, utayarisho wa mauaji na kulipua na kuangamiza umati wa watu. Kabarira alikimbilia ufaransa, na bali alikuwa anahusika na kuua majeshi watutsi na wake zao. Tena anahusika na kumuwinda Padri mwenzake, kwa jina la Modeste Mungwarareba, hatimaye huyu kaokoka.

Nchini ufaransa, inawezekana wanyarwanda takribani 90 waliojificha hapo wamehusika na mauaji ya mwaka 1994.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

JB Karegeya/Bwiza.com                                    

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.