Swahili
Home » Orodha ya wachezaji tajiri zaidi- FORBES
HABARI MICHEZO

Orodha ya wachezaji tajiri zaidi- FORBES

Jarada la forbes la Marekani, Forbes Magazine, lachapisha orodha ya wachezaji tajiri kuliko wengine wote wa michezo mbalimbali huku Christiano Kiungo mshambuliaji wa Real Madrid akiongoza.

Mchezaji- Mchezo- Mshahara pamoja na fedha nyingine anazoingiza(milioni za pauni £)

Cristiano Ronaldo – Football – 71.8

LeBron James – Basketball – 66.6

Lionel Messi – Football – 61.8

Roger Federer – Tennis – 49.4

Kevin Durant – Basketball – 46.8

Rory McIlroy – Golf – 38.6

Andrew Luck – American Football – 38.6

Stephen Curry – Basketball – 36.5

James Harden – Basketball – 36.0

Lewis Hamilton – Motor Racing – 35.5

[xyz-ihs snippet=”google”]

Orodha hii ya wachezaji wa michezo mbalimbali wengi wakiwa wa mpira wa Kikapu, wa ligi la NBA, Soka, motor cycling, ndondi na mingineyo.

Orodha hii imewashtuwa wengi kwa kuwa katika nafasi kumi za kwanza hayuko Tiger Woods ambye kwa sasa yuko nafasi 17, wakati ambapo alikuwa anashikilia nafasi ya kwanza kwenye orodha ya awali.

Mchezaji mwingine ambaye hapatikani kwenye orodoha hii ni Floyd Mayweather hususani kwa kuwa hakufanya vizuri katika mwaka wa michezo uliopita.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com