Swahili
Home » Ofisi kubwa ya Jeshi la Burundi imewaka moto
HABARI MPYA

Ofisi kubwa ya Jeshi la Burundi imewaka moto

Taarifa ambao ilikua ikipita kwenye mitandao nchini Burundi husema ya kwamba Ofisi kubwa ya askali imewaka moto, ila musemeaji wa Jeshi naye kahakikisha hayo na kusema kwamba ofisi hio haikuteketea sana kwa moto.

[ad id=”72″]

Musemeaji wa askari, Col Gaspard Baratuza amesema kwamba taarifa hio ni kweli eti si vikali sana kwani ni nyumba ndogo yenye kuwa humo kwenye kikao kikubwa ambao ilishikwa na moto.

Kama vile gazeti la UBM, husema kwamba chumba ambacho kilishikwa na moto kilikua kikihusika na uwasiliano (communication), na vifaa vimeharibika, na wakati upelelezi ukifanywa ili kujua chanzo cha moto, musemeaji husema kwamba yawezekana kuwa ni kamba za umeme ambazo zimeharibika kwa muda murefu.

Taarifa hii imetolewa wakati watu wengine walikua wakisema kwamba tarehe 24 Oktoba ofisi hiyo ilivamiwa na wanamgambo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com