kwamamaza 7

Nyota wa filamu Sylvester Stallone ashtakiwa unyanyasaji wa kijinsia

0

Nyota wa filamu Sylvester Stallone, mmoja mwa wa waigizaji mashuhuri wa filamu hivi karibuni kukabiliana na madai ya unyanyasaji wa kijinsia.

Stallone amekana taarifa za gazeti la The mail lililosema kuwa alimnyanyasa kingono msichana mwenye umri wa miaka 16 ambaye jina lake halikutambulika mnamo mwaka 1986.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Stallone kupitia mwakilishi wake,Michelle Bega amekanusha kwamba  Stallone alimnyanyasa kingono msichana huyo miaka 31 iliyopita.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa gazeti la burudani la Deadline Hollywood, msichana huyo aliripoti kwa polisi la Las Vegas mwezi Julai 1986 kwamba alinyanyaswa kingono na Stallone pamoja na mlinzi wake, Michael de Luca hotelini kwa jina la Las Vegas Hilton, ambayo sasa inaitwa Westgate Las Vegas Resort & Casino.

[xyz-ihs snippet=”google”]

John Rambo alizaliwa mwaka 1947, alicheza filamu kama Rambo,First blood yaani damu ya kwanza na nyingine zilizopendeza mno.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Gaston Rwaka/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.