kwamamaza 7

Nyiradende alikutwa ameuawa akiwa ndani ya bustani

0

Maiti ya mtu ajulikanaye kwa jina la  Mediatrice Nyiradende mwenye umri wa miaka 48, ilikutwa ndani ya bustani mahali marehemu alikua akiishi katika kata ya Nyamata wilaya ya Bugesera, jimbo la Mashariki alikua akiishi pamoja na kaka yake aitwaye Mugabo Bizimana.

Asubui mapema tarehe 2 January 2017 ndipo maiti hio waliiona bila kupumua tena, na wakati huo kaka yake hakuonekana tena na huazia kuwa ametoroka, na mauti ilikua ndani ya damu na huenda aliuawa kwa uma.

Msemaji wa polisi jimbo la Mashariki, IP Emmanuel Kayigi amesema kua upelelezi huendelea ili kutafuta wahusika na kifo cha Mediatrice Nyiradende.

[ad id=”72″]

IP Emmanuel Kayigi eti “ tungali tunatafutisha huo kaka yake na marehemu ila hatuwezi kumuhukumu mara  ya kwanza na kusema ndie mhusika wa mauaji”.

IP Emmanuel Kayigi amewaomba wakaaji kuwa macho, na kama kuna mtu ambaye ana taarifa kuhusu hayo mauaji kueleza wahusika. Maiti ya marehemu ilipelekwa hospitalini ya ADEPR Nyamata.

Fred Rurangirwa, kiongozi wa kata ya Nyamata alisema kua Nyiradende alijulikana kama mtu mtulivu wa tabia nzuri, na wakaaji wote waweza kumushuhudia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″][ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.