Semabumba na mke wake Mukamurigo Rahel wanahuzunikishwa na kiongozi wa kijiji cha Nyarugunga, tarafa ya Muyira, wilaya ya Nyanza, wakati alipo kuja usiku akatoa mabati mbili chini ya kitanda akapunguza waliyo pewa na tarafa.

Mukamurigo Rahel akiongea na mwana habari wa bwiza.com, alisema ya kwamba kiongozi wa kijiji Mporwiki Erneste alikuja akamwambia kwenda kwa kiongozi wa kiini na ndipo akapewa mabati 10, na huzuni mwingi aliendelea na kusema kwa usiku kiongozi huo wa kijii alikuja na wamelala akabisha na mume akafungua, akaingia hadi ndani ya chumba na kukamata mabati mawili kati kumi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Siku ya kazi ya umma, katika baraza ya wakaaji wa Nyarugunga kiongozi wa kiini ya Nyamure Niyomwungeri Chantal aliopo swali kuhusu mabati kiongozi wa kijiji akasema ni mambo mapya kwake pia na wakaaji wakaema kwamba hawajui lolote, ila wahusika na swala hilo Semabumba na Rahel hawakufika ili kujua ukweli wa mambo, Hakorimana Jean yeye alisema ya kwamba alilazimishwa kulima shamba siku tatu na alirudi kazi ya umma bado kumalizika na hakuna anaye jua sababu yake kwenda mapema.

Niyomwungeri eti “mkaaji mmoja aliniambia kwa sikio kwamba kuna mtu aliye nunua bati moja katika jamii hio ila sija muona, niliwaarifu waje kwenye kiako cha kiini juma nne ili tuzungumzie swala hilo”.

Kiongozi huo husema kwamba ni shida kufika mahali penye tatizo kwa sababu anafanya kazi akiwa mmoja mwenzake wa kazi yupo mbaroni akishutumiwa swala la mabati ya wakaaji.

Katika tarafa ya Muyira, kiini kimoja tu ndicho kina wafanya kazi wawili, pengine wakiwa moja moja kwa kila kiini, na hayo ni kwa sababu wafanya kazi waliacha huduma zao wengine wakiwa mbaroni kwa utumivu mbovu wa mabati na vyakula vya wakaaji.

Kiongozi wa tarafa hio hajadumu hata mwezi mmoja tangu mwenye alikua hapo kuhamishwa katika tarafa nyingine ya Rwabicuma, wakati bwiza.com ilifika mahali hapo kulikua mkutano wa viongozi wa viini na wakiongozwa na kiongozi anaye husika na vyama vya ushirika.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.