kwamamaza 7

Nyamurinda Pascal ameteuliwa kuwa kiongozi wa mji wa Kigali

0

Leo ijuma katika chumba cha mkutano kwenye kikao cha mji wa Kigali palifanyika uchaguzi wa kiongozi atakaye chukuwa nafasi ya Monique Mukaruliza aliye badilishiwa majukumu. Nyamurinda Pascal ndiye ambaye aliteuliwa kuwa kiongozi mpya wa mji wa Kigali

Wagombea wawili ndio waliwaniya nafasi ya uongozi wa mji wa Kigali wakiwa Nyamurinda Pascal na Umuhoza Aurore.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Bna Nyamurinda Pascal alikuwa kiongozi wa kituo kinacho husika na vitambulisho (NIDA) tangu mwaka wa 2007 ilipo kuwa na jina la NID (National ID Project), na aliacha huduma hio kupitia mkutano wa mawaziri wa tarehe 3 Februari 2017.

Bi Umuhoza Aurore yeye alikuwa mratibu mwakilishi kwenye mkutano wa kituo cha wanawake wa wilaya ya Nyarugenge (CNF).

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.