kwamamaza 7

Nyampinga wakosolewa baada ya muimbaji Meddy kuandika kwenye instagram

0

Wafuasi wa muimbaji Ngabo Medaly maafuku kama   Meddy wamekosoa  kwa  washiriki wa shindano la  Nyampinga 2018 baada ya Meddy kupost hawa warembo wakirudia wimbo wake uliotia fora kwa jina la ‘Slowly’.

Mmoja wao kwa jina la Knightnews250  ameandika kuwa ameshangazwa na namna ambavyo hawa wasichana wanaweza kukumbuka na kuzingatia kila mshororo wa wimbo huu lakini wakashindwa kusoma miradi yaho husika na shindano hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Knightnews250 ameandika”Sielewi namna ambavyo wanarudia mishororo yote ya wimbo huu lakini wakashindwa kusoma vilivyo miradi yao kwenye fainali ya shindano”.

 

Mwingine kwa jina la Chrissbrisspaccy ameandika kuwa anaona kwamba huu ni muda wa kuponda raha kwa hawa wasichana.

Pamoja na hili,wengi mwa Wanyarwanda hasa mitandao ya kijamii hivi karibuni walikosoa tabia za hawa wasichana  walipoonekana wakikama maziwa kwa kutumia ndoo za unga ya kufulia.Inaaminika kwamba mhenga na mrembo miongoni hawa ndiye atakayekuwa ‘miss’ wa Rwanda mwaka wa 2018.

Picha ya mmoja mwa hawa wasichana iliyozusha mawazo mengi kwenye mitandao ya kijamii

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.