Swahili
HABARI

Nyamasheke:Mwanamke wa miaka 42 yaeleza kutokuwa na aibu ya kusoma shule ya msingi

Mwanamke mkazi wa kijiji cha Rubyiro,tarafa ya Karambi,Esperance Nyirasafari mwenye umri wa miaka 42 anasema kwamba hana aibu ya kuwa anasoma shule ya msingi kidato cha pilli ambapo hukaa pamoja na wajukkuu wake darasani.

Nyirasafari Esperance(shati nyekundu) na wanafunzi wenzake

Mzazi huyu mwenye watoto watano na mjukuu mmoja ametangazia Bwiza.com kwamba aliamua kuenda shuleni baada ya kuangalia kasi ya maendeleo nchini na kuwa rais Kagame huwahamasisha kila siku raia wa Rwanda kupambana na ujinga ili wajiepushe na ufukara.

Nyirasafari anaendelea kwa kueleza kuwa hakuwa na bahati ya kusoma kwa umri mdogo kwa kuwa aliachana na wazazi wake mapema na kuishi kwa babu zake,amesema”Babu zangu ndio walionilea lakini sikuendi shuleni baali nilikuwa mchungaji wa mbuzi kisha nikaolewa”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwanafunzi huyu ameongeza kuwa mbali na changamoto za kuwa anawatunza mwenyewe, bila msaada watu 6 nyumbani ni mhenga kwa kuwa alipata nfasi ya nne na kuwa anajaribu kulima wakati ambapo hakuenda shuleni.Mkurugenzi wa shule la msingi  anaposomea,Nyiranshuti Seraphine ameleza kuwa wanamsaidia lolote na kuwa haya ni mbegu za uongozi mzuri

Nyirasafari akiwa pamoja na mkurugenzi wa shule ya msingi ya Kagano,Seraphine Nyiranshuti

Nyirasangwa Seraphine anasema kuwa hatalegeza katika misomo yake hadi chuoni ili aweze kuwa miongoni mwa wahenga nchini.

Nyirasafari anayetunza familia ya watu sita 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com