Swahili
Home » Mtumishi wa wizara ya afya akaribishwa na migogoro ya hopitali ya Bushenge na Kibogora
HABARI

Mtumishi wa wizara ya afya akaribishwa na migogoro ya hopitali ya Bushenge na Kibogora

Katibu hali kwa wizara ya afya Dkt Patrick Ndimubanzi

Katibu hali kwa kwa wizara ya afya,Dkt Patrick Ndimubanzi amekaribishwa na changamoto kadha za hospitali ya Bushenge na Kibogora katika wailaya ya Nyamasheke.

Katibu hali kwa wizara ya afya Dkt Patrick Ndimubanzi

Baadhi ya changamoto hizi kuna idadi ndogo ya watumishi,uchache wa majengo,ufisadi wa mashine,uchache wa makazi,ukalili wa waganga gwiji,magari ya kuwabeba wagonjwa na mengineyo.

Kwa ujumla,changamoto la kawaida la hospitali hizi mbili ni kwamba watumishi wengi wanahofia kukimbizwa kutokana na mpangilio mpya wa kazi uliowatia njia panda.

Dkt Patrick Ndimubanzi akizungumza na mgonjwa

Pamoja na hayo,Dkt Patrick Ndimubanzi amewasihi kuwa hawatafukuzwa na kuwamasisha kuendelea na kazi yao ya kila siku kama kawaida.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Viongozi wa mpito wa hizi hospitali,Dkt Vedaste Nkurunziza(Bushenge) na Dkt Nathanael Nsengiyumva(Kibogora) wameshukuru mashauri ya kzi ya katibu hali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Rais Kagame kuitaja wizara ya afya baadhi ya wizara zinazohitaji kufanya juu chini ili mabadiliko yapatikane kwenye mamlaka mpya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com