kwamamaza 7

Nyamasheke:Jamii 855 wanaishi katika mabishano na kelele

0

Uongozi wa wilaya ya Nyamasheke pamoja na ushauri wa wanawake ngazi ya nchi katika wilaya hio wanasema ya kuwa mabishano na makelele ya jamii hukaza mwendo na inabidi ushilikiano na raia na ngazi zote ili mabishano yapunguke.

Ngazi hizo husema ya kuwa matukio  huweza kuwafikia watoto na huweza kuharibu maendeleo ya nchi, kwa hio inabidi kufanya yawezekanayo ili kutatua tatizo hilo.

Mukamazimpaka Charlotte, mupatanishi wa ushauri ya wanawake katika wilaya ya Nyamasheke anasema ya kuwa hilo kuwa shida kubwa kwa ajili ya maendeleo na mwanamke bila kusahau mwanaume hata watoto na nchi kwa ujumla kama vile husema imvahonshya.

Eti “mabishano ya jamii yapo na  huvamia maendeleo ya familia, tumehesabu jamii zenye mabishano 855 na tunawafundisha kila tarafa na kuna wanaokubali na kuhakikisha kuishi katika amani”.

Anasema ya kuwa mabishano ni katika tarafa zote ila tarafa ya Karambi ni zaidi, mabishano hutoka kwa kutoaminiana wakisema wanazini na wengine, kuharibu mali ya jamii, kelele kila siku na husababisha kupigana, ila pamoja na ngazi za msingi na wilaya wanaamini kupunguka.

Mke mmoja ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kuwa mumeo humufikilia uzinifu na wanaishi vibaya na hata siku moja hakuzini na mtu fulani kama vile yeye binafsi huhakikisha.

Kiongozi wa wilaya, Kamari Aimé Fabien, alisema ya kuwa hii  ni swala ambalo wanapambana nalo kwa kuwa mabishano yapo na hata kuna wenye elimu wanaoishi mapiganao na wamoja hutia hazarani baada ya muda murefu. Anaomba msaada ngazi zote sana wenye kuongoza makanisa ili jamii ziishi kwa amani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Eti “mabishano katika jamii yapo na huvamia maendeleo katika uchumi na maisha bora ya raia, lakini tumeamua kusadiana na ngazi tofauti, ushauri wa nchi kwa wanawake, makanisa, ngazi za vijana na wengine na tunaamini kupata suluhisho kamili”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.