kwamamaza 7

Nyamasheke: Muuguzi anashutumiwa kuiba kifaa cha hospitali “Patient monitor”

0

Taarifa husema kwamba katika hospitali ya Bushenge, wilaya ya Nyamasheke, wiki mbili nenda kumekosekana kifaa kilichohusika na kuchunguza magonjwa kama mafua, damu, moyo na kazalika, ukosefu huo katuma dokta mmoja na wauguzi watatu walio lala zamu kutiwa mbaroni.

Kiongozi wa muda wa hospitali, Dr Nkurunziza Vedaste, alisema kwamba kifaa hicho kilikosekana usiku wa tarehe 28 kuelekea 28, na wanahakikisha kuwa kilikosekana kati ya saa nane na saa kumi na moja za adhuhuri.

Aliendelea na kusema kama kina usamini wa pesa 1.300.000 za Rwanda, na imetia tatizo kwa kuchunguza wanao sumbuka na aina na magonjwa tofauti kwa uwingi.

Eti ’’kilikuwa kifaa chenye kielekezo ya teknolojia na kutumiwa na umeme, ila kwa sasa tunatumia vifaa kawaida kirejereja kwa kuchunguza damu na moyo, mengine hatuwezi”.

Alhamisi tarehe 13 April, mahakama ya msingi ya Shangi walisambisha washutumiwa jinsi ni wane na watatu kaachiliwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi anayehusika na wafanyakazi na uchumi, Nkurikiyimana Edmond, alisema kuwa watatu wamefunguliwa na mmoja amehukumiwa kwa muda siku 30, alisema kwamba kifaa kilicho ibwa kinajulikana kwa jina la “Patient monitor”

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.