kwamamaza 7

Nyamasheke: Kiongozi wa wendesha pikipiki hutumia nauli ya miliyoni 2 kwenda Kigali

0

Wendesha pikipiki karibu 147 wenye kuwa katika kundi COTRAMONYA wenye kuwa na kikao Tyazo, tarafa Kanjongo, wilaya Nyamasheke wanashutumu kiongozi wao Nsengimana Onesphore kuharibu mali yao akitumia nauli ya miliyoni 2 kwenda Kigali.

Wanashutumu na kusema ya kuwa anaomba kila mwendesha pikipiki pesa za Rwanda zipatazo 20.500 ili akwende Kigali kuwaletea vitambulisho ( Autorisation de Transport),  wanajiswali kuwa pesa hizo anazitiya wapi kwa sababu kwenda Kigali ni pesa 3800, tatizo ni kuwa wanampa hizo pesa na mwisho haendi Kigali.

Mwanzo alikuwa akiomba 25.000 walipo piga kelele kiongozi mmoja kutoka RURA akaja na akakubali kurudisha pesa, ila kwa mwisho alirudilia tena tabia yake na kuwaambia ya kwamba hakuna mwendesha pikipiki anaye kubaliwa peke yake kwenda Kigali.

Kinacho huzunikisha ni kuwa wakati wanampa pesa anasubiri ziwe nyingi na kuna wenye kungojea hadi miezi kumi bila kuona vitambulisho.

Hakizimana Manassé eti “nilimpa pesa mwezi Mei mwaka jana na ilibidi nipate kitambulisho huo mwezi, mwezi Agasti polisi ikaniazibi kwa ajili ya kitambulisho hicho, hivi ni mwezi Mach 2017 sijapata kitambulisho changu”, kama vile husema imvahonshya.

Kuna wakati mwengine anasubiri hati wendesha 100 watimie na hapo anapata zaidi za miliyoni mbili, na hawezi kuitika kila mtu aende Kigali, mara moja tu ndipo alikubali muweka hazina kwenda huko. Swala ni hili, mbona kwenda Kigali 7600, hasa miliyono zaidi ya mbili zina kwenda wapi?

Nsengimana Onesphore anaye shutumiwa anakubali kuwa anawaomba pesa hizo, ila eti anaenda Kigali mara inne ili kupata vitambulisho.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa wilaya Kamari Aimé Fabien, alisema ya kuwa anakwenda kufuatiliya swala hilo na kama ni kweli sherti kiongozi huo aazibiwe, eti “ tumesikia hao, tumetuma kundi yenye kuongozwa na kiongozi wa wilaya makamu anaye husika na uchumi na majibu watakayo leta itakuwa chanzo cha kutatua swala hilo”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.