kwamamaza 7

Nyamasheke: Kiongozi wa kiini ametiwa mbaroni akishutumiwa pesa 2000

0

Kongozi wa kiini cha Banda, tarafa ya Rangiro, wilaya Nyamasheke ametiwa mbaroni na polisi ya Rwanda stesheni ya Kanjongo akishutumiwa kupewa pasa za Rwanda 2400 na raia wawili.

Kiongozi wa wilaya, Kamari Aimé Fabien alisema ya kuwa raia hao walikuwa wakiomba vitambulisho vya njia na kumupa pesa hadi sasa wamechelewa safari yao na hawakurudishiwa pesa zao hata vitambulisho hawakupata, yupo mahakamani ili kujua kwamba alikuwa mwenye kupora ama sababu nyingine.

Kamari alisema ili mtu apewe kitambulisho hutoa kwanza pesa 1200, wao walilipa pesa ila hawakupewa kitambulisho cha malipo na wenyeji walipo piga kelele ndipo akakamatwa.

Eti’’ Akihamasishwa kosa ataazibiwa kama mtu aliyepora mambo ya serikali, na kama hahamasishwe kitu ataachiliwa na kurudi kwa kazi yake, lakini tabia ya kupora wakaaji sherti ikome kabisa hata kama ni pesa mia tano”.

Ametiwa mbaroni na bado hajaongoza kiini hicho miezi tatu kwa sababu alikua akiongoza kiini chengine baada ya wengine 19 kuaaga kazi.

Kabla ya hapo mwenye kuhusika na maendeleo na maisha bora katika kiini moja ya tarafa ya Gihombo, alikuwa ametiwa mbaroni akishutumiwa kuwaomba raia pesa ambao hawana nafasi ya kuishi akisema ya kwamba anakwenda kuwaletea mabati ili wajengewe nyumba, ila yeye alifunguliwa na kurudi kwa kazi yake.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.