Katika hospitali ya Bushenge hali ni mbaya kutokana na waongozi walipo amua kuwapa moja ya pili ya mishahara na hapo wauguzi 8 wakaacha kazi.

Wenyeji husema ya kuwa chanzo ni tangu mwezi Agasti mwaka nenda walipo maliza miezi 4 bila mshahara na wamoja wakenda, na wanasema ya kuwa hio ni kazarau kwa kuwa viongozi hawatii mkataba walioufanya, wanasema pia waliandikia uongozi ila hitaji lao kazarauliwa. Hao walio acha kazi waliacha kupitia njia bora kwa kuwa waliandika barua za kuaga kama vile husema gazeti umuseke.

Wafanyakazi wamoja hawakukubali wanayo ambiwa na viongozi ya kuwa wapo na ukosefu wa pesa kwa kuwa wao wanasema ya kuwa wanao hitaji matibabau huongezeka siku kwa siku, ingine jambo ni kwa kuwa hospitali hio ipo kwa ngazi ya Jimbo ya Mangharibi.

Muuguzi mmoja ambaye hakuhitaji jina lake litajwe ameamua kwenda kufanya kazi katika kituo cya afya kwa sababu alifanya kazi katika hospitali ya Bushenge mwaka moja na miezi 4 ila hawakuheshimu mkataba alioufanya pamoja na uongozi wa Hospitali ya Bushenge katika wilaya ya Nyamasheke.

Kufuatana na muda alio fanya kazi hapo, anasema ya kuwa anadai pesa za Rwanda elfu 800, ila uongozi wanasema ya kuwa hawana deni lake.

Wale ambao walibaki kazini wanasema ya kuwa wanateswa na kazi nyingi baada ya wengine kuaga na kwa kuwa wanaendelea kukatwa mshahara wao bila sababu na wanasema ya kuwa nao wanaweza acha kazi kwa kuwa kile ambacho kilisukuma wenzao kuacha kazi hakija tatuliwa na mbele walikuwa wakiwajali kwa safari ya kwenda na kutoka kazini ila kwa sasa kila mtu anajijua na pesa hizo ndogo huishia njiani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uongozi wa hospitali husema ya kuwa pesa niza serikali, Vedaste Nkurunziza kiongozi wa hospitali anasema ya kuwa swala kama hilo hana jibu na yeye husema ya kuwa ni mfanya kazi kama wengine, akisema ya kama swala la mishahara ni swala ya wizara ya afya kama vile umuseke husema.

Kuhusu wafanya kazi walio acha kazi, kiongozi huo eti : « hasa mimi naweza kumukataza mtu kwenda akisema amekosa pesa ».

Kwa matokeo mabaya ya huduma, Vedaste anasema ya kuwa wakati wauguzi wanakwenda muwaza huduma itakuwa njema ?

Wenye kuhitaji matibabu nao wanasema yakuwa kuondoka kwa wauguzi hao hawapati tena huduma kama ipasavyo kwa sababu hesabu ya wauguzi imepunguka na wengine wanafanya kazi na uzaifu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.