Swahili
Home » Nyamagabe:Wafanyakazi wa serikali wafungwa jela kwa kuharibu mradi wa serikali kwa jina la ‘Girinka’.
HABARI MPYA

Nyamagabe:Wafanyakazi wa serikali wafungwa jela kwa kuharibu mradi wa serikali kwa jina la ‘Girinka’.

Wafanyakazi wa 5 wakiwemo viongozi wa vijiji,waganga wa mifugo wameisha fungwa gerezani juu ya uhalifu husika na kutofuatilia kanuni za kutoa ng’ombe za mradi wa serikali wa kutoa ng’ombe kwa wakazi kwa jina la ‘Girinka’ yaani miliki ng’ombe ili kujiepusha ufukara.

Wengi mwa wanaofungwa kuna wanaotoa ng’ombe zaidi ya moja kwa mkazi,kuna zinazonyimwa wakazi kisha zikauzwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baadhi ya waliofungwa kuna katibu mtendaji wa kijiji cha Mutiwingoma, kwa wajibu wa mambo ya kijamii na maendeleo,Timothee Muhayimana aliyenyanganya ng’ombe 3,waganga wa mifugo wakiwemo Africa Mugiraneza(ng’ombe 4),Thomas Sibomana(ng’ombe 4) na katibu mtendaji wa kijiji cha Karambo,katika tarafa ya Kibirizi.

Pamoja na haya, mala nyingi kulisikika taarifa za kuwafunga viongozi hasa wa mitaani wanaoharibu mradi huu wa serikali kupitia upendeleo,kutoelewana,rushwa na mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali inatarajia kutoa ng’ombe kwa familia 350,000 za Wanyarwanda ila familia 177,200 zimeisha nufaika kupitia mradi huu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com