kwamamaza 7

Nyamagabe: Manusura wa mauwaji ya Kimbari dhidi ya Watusi wa nashutumu ngazi za mwanzo kutolipwa malizao

0

Manusura wa mauwaji ya kimbari dhidi ya Watusi  wanao ishi tarafa ya Gasaka WiLaya ya Nyamagabe, wana kerwa na baadhi ya walio angamiza mali zao na baadae ku toroka, na ku washutumu wa Katibu Talafa  kutofuatilia swaLa hilo kwa makini.

Bi Mukankusi Phoibe  miongoni mwa manusura anasema kuwa  alidai pesa zake sawa na Laki 680  kutokana na walio  angamiza mali zake lakini baadaye alipata taarifa kuwa katibu Talafa  anae julikana kama Noheri, alipokea pesa za huyo mama na kisha akazitumia kwa majukumu yake pasipo kumkabizi mama huyo.

Pesa zinazo daiwa kuliwa na Katibu talafa Noheli ni pamoja na  Faranga Laki mbili 200.000 frs  ambazo alikuwa amelipwa na Munyankindi Haruna pamoja na  Laki 480.000 frs  ambazo alikuwa amelipwa na Sebujangwe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wengine wano towa kero zao wanasema kwamba wanachukizwa sana nakuona Katibu Talafa anatumia pesa za hao manusura, na wakati anapaswa kuzifikisha pesa hizo kwa wahusika. Piwa manusura hao wanasema kuwa  kuna kesi walizo shinda lakini mpaka sasa bado hawajalipwa pesa zao.

Wakazi wa  kijiji cha  Kigeme wanasema kwamba kuna mama mmoja Mukanyarwaya Belia  alilipwa  elfu 60 lakini  Katibu Talafa Noheri  akampa mama huyo  elfu 30 pekee.

Kero zingine zinazo daiwa na wakazi hao nipamoja naware wanao uza mashamba yao na baadae  kuyahamamakazi hayo pasipo ku waripa manusurahao, mkazi mu moja arisema kuwa anajuwa wazi baadhi ya majilani zake warihama baada ya kuuza mashamba yao na kuondoka pasipo kuripa wakati viongozi wa kiwangalia.

Manusura hao  wanasema kwamba  shida walizonazo nipamoja na ng’ombe wanazo pewa na fuko la FARG ambao linalo wasaidia manusura wa mauwaji ya kimbali dhidi ya Watusi, manusura hao wanasema kwamba ng’ombe hizo hupewa na wale ambao hawastahili ku zipewa. Wanaposema kwamba ngombe hizo wanao zipata niale wanao towa Rushwa

Pamoja nahizo kero, hivi sasa mwenyekiti wa kitongoji cha Kigeme yuko mbaroni kwa shutuma za  kutowa ng’ombe  zilizo kuwa  za manusura hao na kuwapa wasio sitahili kuzipewa

Katibu wa tume ta  CNLG  Inayo shugulikia ku dhibiti  mauwaji ya kimbari Dr Bizimana Jean Damascene, arisema kuwa wakati shughuri za kesi za mauwaji ya kimbari maarufu Gacaca wakati ziripo hitimisha shughuri zake, kuna  sharia iriyo wekwa kuhusina na malipo  ya manusura  wa mauwaji ya kimbari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kifugu cha sheria  nambari  13 namba 04/2012 husema kwamba  kesi zote zirizo marizika  kuhukumiwa,  hupigwa chapa baada yak u idhinishwa na  katibu Talafa , na kisha ku fikishwa kwa  hakimu mkazi wa  maeneo hayo.

Pia Dr Bizimana arisema kwamba  kuhusiana na  nyaraka pia za wario hukumiwa na  mahakama za kijadi maalufu Gacaca, hivisasa  nyaraka hizo  pia na  picha na Sauti vimeisha kabidhiwa  tume ya  kudhibiti  mauwaji ya kimbari dhidi a watutsi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

John Bagabo@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.