kwamamaza 7

Nyamagabe: Jamii ya watu 3 huishi ndani ya nyumba ya mita 1 ikifunikwa na hema

0

Katika tarafa ya Gasaka, wilaya ya Nyamagabe, jamii ya Bavakuru wanaishi katika nyumba isiyo zidi meta moja na juu ikifunikwa na hema, hayo yalitokana na viongozi waliomuazimu kujenga nyumba ndogo ili kulinganisha na mabati walio mukubalia, ila kwa mwisho katibu Tarafa hakupana mabati.

Hapo ni katika kiini ya Kigeme, kijiji cha Gakoma, tarafa ya Gasaka. Bavakure huishi pamoja na mke wake na mtoto, wanaishi karibu ya kambi ya wakimbizi ya Kigeme.

Wengi katika kiini hicho ni mbilikimo (pygmée), wanasema ya kuwa wanaishi maisha mabaya ila sana wakisema mwenzao ajulikanaye kwa jina la Bavakure pamoja na Gahendegeri mwenye kuwa na watoto wawili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Raia hao wanasema kuwa Bavakure alikubaliwa mabati kama wengine ila kiongozi wa kiini ajulikanaye kwa jina la  Nkundimana Noheri kamuchosha sana pamoja viongozi wamoja wa Tarafa. Alikuwa akiambiwa kupunguza nyumba yake na mwisho alijikuta yupo katika nyumba ya meta moja na mabati hakupata na ndipo akatiya juu hema.

Taarifa husema ya kuwa si Bavakure pekee yake anayeishi katika nyumba ndogo, kuna wengine wanaoishi maisha mabaya kwa ukosefu wa mabati waliokubaliwa kama msaada na hadi sasa hawajapata.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.