kwamamaza 7

Nyagatare:Benki ya Ecobank yaibiwa frw miliyoni 100

0

Polisi ya Rwanda imeweka wazi kwamba jumamosi kulitokea wizi wa frw miliyoni 100 za benki ya Ecobank.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Spika wa polisi mkoa wa mashariki,IP Jean de Dieu Kayihura amethibitisha taarifa hizi na kusema kwamba watuhumiwa wa ufisadi huu ni meneja wa mpito wa tawi na meneja wa uendeshaji wanaotafutwa na polisi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kunafikiriwa  kwamba watuhumiwa waliba benki hii baada ya kujua kwamba tawi hii la Ecobank Nyagatare  litafunga mlango mwezi januari mwaka uajo 2018.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.