Makamu wa kiongozi wa wilaya ya Nyabihu,Antoine Mugwiza amejiuzulu juu ya kudharau kiongozi wa wilaya Bw Theoneste Uwanzwenuwe.

Bw Theoneste Uwanzwenuwe amehakikisha hizi taarifa kuwa Antoine Mugwiza alijiuzulu tarehe 7 Machi 2018 kupitia barua aliyoandikia viongozi wa wilaya akisema kuwa amejiazulu kwa sababu binafsi.

Huyu kiongozi ameeleza kuwa halmashauri ya wilaya itaamua kuhusu suala hili

“Halmashauri itaamua suala la kumchagua kiongozi mwingine ” Theoneste amesema

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ameeleza kuwa hajui kuwa lililomfanya Antoine Kujiuzulu.

Antoine Mugwiza amejiuzulu baada ya ombi la halmashauri.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina