kwamamaza 7

Nyabihu: Chumba cha sinema kinapora pesa za wazazi na watoto wakataa shule

0

[ad id=”72″]

Katika kata ya Mukamira, wilaya ya Nyabihu, kuna chumba cha sinema ambamo watoto hupora pesa za wazai wao ili wakaweze kupata malipo ya kuingia na kutazama sinema bila kwenda shuleni na wazazi hulalamikia viongozi ili kufunga sinema hio kwani watoto huchukua tabia mbaya.

Kwa hasira mzazi mmoja amesema kwamba mara nyingi hutuma watoto kuuza chumvi na watoto huenda kuketi kitako wakitazama sinema bila kuyafanya walio yatumwa na wazazi na kwa hayo wazazi huwapiga watoto wao ila tabia haibadiriki, aomba viongozi kukamata hatua nyingine kwa kuzuiya chumba hicho ama kufanya mbinu nyingine kama mfano mwenye umri wa m iaka chini ya 18 asikubaliwe kwenda kutazama sinema ndani ya chumba hicho.

nyabihu1

Kiongozi wa wilaya ya Nyabihu Uwanzwenuwe  Theoneste amesema kwamba ni mara ya kwanza kusikia tatizo hilo, asema kwamba pamoja na wazazi watatafuta suluhisho na kwa siku za usoni jibu itapatikana, eti haiwezekane kufunga biashara ya mtu.

Utafiti uliofanywa mwaka wa 2013/2014 huonyesha kwamba katika wilaya hio 17% hawajui malango ya shule wakati katika nchi nzima  14% hawakufika shuleni

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.