kwamamaza 7

Nord Kivu: Raia 22 wauawa mwishoni mwa wiki hii

0

Mambo ya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huendelea kuwa tatizo  kubwa ikisemwa kwamba mwisho wa wiki hii watu wapatao 22 wameuawa na wapiganaji wa ADF Nalu kama vile taarifa husema.

Wapiaganaji hao wamefanya muda wa miaka 2 wakizorota katika Kivu ya Kasikazini na sehemu zingine ambazo huwa karibu ambapo watu wengu wapo uhamiaji kwa ajili ya usalama mbovu.

Jana juma pili raia 10 waliuawa na leo tariki 26 Disemba 2016 asubui mapema wameokota maiti 12 katika sehemu tofauti katika jimbo hilo la Kivu ya Kasikazini.

Mauaji hao ya kinyama yanaungwa mkono na wanamgambo kutoka nchi ya Uganda ambao huishi katika misitu ya DRC na huendelea kuvamia hali ya usalama katika nchi hio.

Mauji hao ambao hufanyiwa raia ni hufanana kwani wauawa kupitia upanda ao vifaa vingine kama vyuma kama silaha za kiasili.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Musemaji wa Jeshi la Congo Mak Hazuka amehakikisha taarifa hiyo ya mauaji ila akasema kwamba wapiganaji 4 wa ADF wameuawa wakati raia wameuawa kama vidudu.

Hata kama husema watu wapatao 22 ndio wameokotwa yawezekana waliouawa kuongezeka kwa sababu musako huendelea katika sehemu tofauti.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.