kwamamaza 7

‘Nimetumika miaka ya kutosha naenda likizoni’-Gavana Bosenibamwe

0

Bosenibamwe Aime ambaye alikua gavana wa mkoa wa kasikazini amesema kwamba badaa ya miaka ambayo amefanya kazi ya serikali hivi sasa anaenda likizoni kupumuzika kiisha na kujua la kufanya baada ya hapo.

Katika mazunumzo na www.bwiza.com amesema kwamba ingali mapema ili kujua yale atafanya, anapumzika kwanza na baada ya hapo yale atakayoyafanya atawajulisha kama itakua kwa niaba ya kujenga nchi.

[ad id=”72″]

Hayo ni wakati juma pili tarehe 6 novemba alipo mpokeza vitabo vya FPR-Inkotanyi kiongozi mpya wa jimbo la Kasikazini  Musabyimana Jean Claude

Tarehe 4 Oktoba 2016 ndipo katika serikali ya Rwanda palikuwepo mabadiliko kwa viongozi na gavana wa mkoa wa kasikazini Bosenibamwe akatolewa kwa nafasi ya uongozi na akarudiliwa na Musabyimana Jean Claude alikua kiongozi wa wilaya ya Musanze.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.