kwamamaza 7

Nimekata tamaa hadi sasa nafikiria kuachia mbali siasa- Dkt Frank

0

Dkt Frank yatangaza kwamba mpaka sasa hajapokea matokeo ya kura ambapo anasema anaweza hata kujiuzuru kwenye uwenyeti wa chama chake cha Green.

Dkt Frank Habineza wa chama cha Green ambaye hakuweza hata kupata asilimia moja ya kura kwa ujumla katika uchaguzi wa tarehe 04 Agosti 2017 matokeo ambayo alisema ni ya kukatisha tama.

“Licha ya kwamba tulikubali matokeo ya kura kama wanademokrasia hatukuridhika nayo”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alipojibu maswala ya BBC kuhusu mambo ambayo hawakuyatarajia alisema iko kupata asilimia 0.na kitu, na hata kuzidiwa na mgombea ambaye hana uzoefu wa kutosha katika siasa ya Rwanda Bw Philippe Mpayimana unasikia lilitushangaza sana”.

Alipoulizwa ikiwa kuna mambo ambayo anaona hayakuenda vizuri kwenye zoezi nzima la uchaguzi kama kuhesabu kura, Frank alisema kwamba yeye siye Tume ya Uchaguzi kujibu hayo lakini kuna mojawapo ya mambo ambayo wanaona kuwa hayakuenda vizuri kama kutatizwa kwenye ziara zao za Kampeni, wasimamazi na waangalizi wa kura kutoruhusiwa kuingia vyumbani ambapo kura zilikuwa zikihesabiwa.

Frank alijibu kuhusu swala la kuzidiwa kura na Mpayimana Philippe ambaye hakuwa na uzowefu wa Rwanda hilo ni fumbo takatifu.

“kwa kweli na mini ni jambo ambalo sijalielewa bado nilikuwa nafirikia hata kuachia mbali mambo ya siasa na kujiuzuru kwa wajibu wangu wa kukiongoza chama changu na ningali nafikiria kuhusu hilo”

Na baadaye kuhusu ikiwa kujiuzuru si ungekuwa uamuzi wa kuwageukia wananchama wake, Habineza alijibu “najisikia dhaifu kwa sasa sijaamua ikiwa nitaendelea au la”

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.