kwamamaza 7

Nilifanya mapenzi na wanawake 30 ili nisahau Wema Sepetu- Idris Sultan

0

Idris Sultan,mshindi wa Big brother Africa mwaka 2014 amefichua kuwa ilimbidi kufanya mapenzi na wanawake 30 ili kusahau utamu wa upendo wa Miss Wema Sepetu aliyekuwa kimwana wakati wa miezi sita.

Idris Sultani na Wema Sepetu

Idris Sultan ameongeza kuwa ndiye aliyeamua kuachana na Wema Sepetu kwani anaona kwamba msichana mrembo huyu anawaumiza wanaompenda badala ya kuwafurahisha bali alishindwa kumusahau moyoni mwake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,Diamond aliwahi kutangaza kwamba ana majeraha makubwa moyoni mwake kwa ajili ya Wema Sepetu aliyekuwa Miss wa Tanzania mnamo mwaka 2006.

Chimbuko:The star.co.ke

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.