Swahili
HABARI MPYA KIMATAIFA SIASA

Ni vigumu kuamini kwamba Rais Kagame alichaguliwa kwa kura 98.7%-Mbunge Chris Smith

Chris Smith

Kiongozi wa kamati ya mambo ya nje ya marekani kwa Afrika na haki za binadamu,Chris Smith kupitia mazungumzo kuhusu demokraisa na haki za binadamu baada ya uchaguzi wa rais nchini Rwanda ametangaza kwamba ni vigumu kuamini kuwa rais Kagame alichaguliwa kwa kura 98.7%

Mbunge Chris Smith

Kwa mujibu wa taarifa za radiyo ya sauti ya marekani,mbunge Chris Smith ameleza kwamba ni vigumu kuamini kwamba Rais Kagame anapendwa kiwango hiki kwa kuwa kuna ukiukaji wa haki za kibinadamu kulingana na matokeo ya ripoti kadhaa husika na haki za binadamu na namna ambavyo serikali inatesa wapinzani wakiwemo Diane Rwigara na Wanyarwanda wanaoishi Afrika kusini aliwozungumza nao wakiomba ukimbizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Chris Smith ameongeza kwamba wanakusanya mengi husika na haki za binadamu  nchini Rwanda na kuwa kutakuwa mazungumzo hivi karibu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,Chris Smith ameshukuru Rwanda inavyofanya vizuri kuhusu ulinzi wa usalama katika Umoja wa Mataifa na kuongeza kwamba haya hayatoshi kulingana na nchi inayofuatilia mtindo wa kidemokrasia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande mwingine,kiongozi makamu wa waziri wa mambo ya nje kwa Afrika,Donald Yamamoto ameleza kwamba Rwanda ilipiga hatua kubwa ya kidemokrasia hata kama safari ingali ndefu kama vile kuwania uchaguzi ya rais,uhuru wa vyombo vya habari wa kutangaza habari husika na kuteswa kwa wapinzani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mhe.Donald Yamamoto amesisitiza kwamba wanafuatilia vilivyo yanayomfikia Diane Rwigara  na kuomba serikali ya Rwanda kutoa suluhisho la jambo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Chris Smith ametangaza haya baada ya taarifa za KTPress kueleza kwamba yeye alipokea frwa miliyoni 400 kuanzia mwaka 2014 za  tajiri  Rujugiro kupitia Podesta group ili kuipaka masizi serikali ya Rwanda nchini Marekani.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com