kwamamaza 7

Ni sherti kushiriki usalama wa mahali- Gavana Musabyimana

0

Kiongozi wa jimbo la Kaskazini Musabyimana Jean Claude alitoa uito kwa raia wa tarafa ya Gatebe pamoja na Bungwe za wilaya Burera kuwa makini ili kuzuia makosa na kuwa wamoja wa kulinda usalama ya nafasi wanayo ishi.

Alitoa ujumbe huo akiwa pamoja na raia wapatao 800 katika tarafa ya Gatebe tarehe 6 April akiwa pamoja na kiongozi wa polisi jimbo la Kaskazini ACP Bertin Mutezintare  na wengine viongozi wa ngazi ya jimbo.

Alicho kigusia sana, aliwaomba kuwa na uwasiliano na ngazi za msingi pamoja na za usalama kwa kujilindia usalama wakizuia dawa za kulevya, eti “hatuwezi kuwa na maendeleo tukiwa na watu ambao hutumia dawa za kulevya na ubiashara, kwani husababisha makosa mengine”.

Gavana aliambia walioshiriki mkutano eti “usalama hutazama kila mkaaji ndio sababu kila mmoja awe jicho ya jirani yake ili azuie na kupiganisha kinacho weza vamia usalama”.

Aliomba kukaza usalama kwa kuzuia makosa na kutoa taarifa mapema, aliomba pia kushiriki mipango inayohusu kuwakumbuka waliouawa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, mpango ulianza tarehe 7 April.

Kiongozi wa polisi ya Rwanda jimbo la Kaskazini ACP Mutezintare  aliambia raia kuwa dawa za kulevya huwa mbele kwa makosa kama kupiga, kuiba, unyanyasaji wa jinsia, kubaka na kuzini na watoto.

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACP Mutezintare  aliwashauri akisema baada ya kulinda usalama hutekeleza mambo ya maendelo, aliwaomba kushiriki mipango ya serikali kwa sababu ni kutayarisha siku za usoni.

Aliwaomba kujilinda kufanya kila kitu kilicho kinyume na sheria, aliomba kupiganisha mambo kama hayo na kuzuia, wakitoa taarifa mapema, anayetarajiya kufanya makosa ili akamatwe na afikishwe mahakamani.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.