[xyz-ihs snippet=”google”]

Viongozi wa hazina ijulikanayo kwa jina “Iterambere Fund” wanasisimua raia kuwa na tabia ya kusaidia na wakijikumbuka wenyewe ijapokuwa wao husema ya kuwa mapatao ni machache kuweza hayo ni vigumu.

Hazina “Iterambere Fund”, ni umoja ya viashara (Unit Trust), ilianza mwaka 2016, tatizo ni kuwa mwaka hauwezi pita bila kuwasaidia wanasherehe 10, na hapo wewe unajinyima katika hazina yako ambayo itakusaidia kwa siku za usoni kwa ajili ya maendeleo yako.

Kiongozi aliwaambia wanahabari kutangazia kila munyarwanda kuwa na tabia ya kujiwekea kwani ndio njia raisi ili kufikia utajiri kamili, alifasilia na kusema kwamba hazina haiombi pesa nyingi, mwanzo ni elfu mbli (2000 Frs).

Hata kama waliomba wanahabari kujulisha hayo, ilionekana wazi ya kuwa wanahabari wao pia hawajaelewa maana ya hazina “Iterambere Fund” wakisema kuwa haawakujifunza mabo ya uchumi, ni aje watafasiriya hayo kwa wakaaji, na raia akikuuliza wewe humujibu ya kuwa ni T Bond ao T Bill, bila kuongeza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hazina kama “Iterambere Fund” si upekee wa Rwanda hata nchi jirani kama Tanzania utakuta “Umoja Fund”. Na mmoja wa wafanya kazi alikuwa ni mtumishi wa hazina  Umoja Fund, jina lake  Anagha Hunnurgar , anasema Tanzania wapo na uzoefu tangu mwaka 2005, na anaonyesha utofauti kati ya “Iterambere Fund”  na “Umoja Fund”.

Hazina “Iterambere Fund” iko na wanamemba 1000, tayari wamejiwekea zaidi ya biliyoni kwa miezi michache wakifanya kazi.  Milango iko wazi kwa wakaaji wa Rwanda hata wakaaji wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki (EAC) kwa ujumla.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.