Swahili
HABARI MPYA SHERIA

Ngororero:Viongozi hawajui eneo la hoteli waliyoijenga kwa kutumia frw miliyoni 665

Viongozi wa wilaya ya Ngororero wakiwa bungeni wameleza kutojua eneo la hoteli waliyojenga kwa kutumia frw miliyoni 665.

Diwani Godefroid Ndayambaje amefafanua kwamba hajui walipojenga hoteli hii na kuwa aliwahi kusikia kuwa hoteli hii ilijengwa huko Rusizi, kusini magharibi mwa nchi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,kiongozi wa washauri wa wilaya,Jean Paul Dushimumuremyi akijibu swali la Mhe.Juvenal Nkusi amesistiza kwamba walitoa fedha za kujenga hoteli ya nyota nne kwa jina la Marina Kivu Bay lakini hawakujui mahali ilikojengwa,jingo lake,usimamizi wake na faida yake kwa wilaya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wabunge wameshauri kuwa viongozi wangelienda wakafika kunakojengwa hoteli hii  ili kujua mapana na marefu husika na hoteli hii.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Viongozi hawakuonyesha hati rasmi za fedha zilizotolewa kwa kujenga hoteli hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com