Home HABARI Ng’ombe ya raia wa Rwanda amezaa mamba
HABARI - May 1, 2017

Ng’ombe ya raia wa Rwanda amezaa mamba

Mambo yanayo tokea ulimwenguni ni mengi, wakati mumoja kunatokea kitu na watu huona kuwa ni ajabu ya kushangaza na husambazwa magazetini duniani pote.

Katika wilaya ya Kamonyi, tarafa ya Rugarika, kiini cha Masaka, kijiji cha Masaka kulitokea maajabu na kushangaza wengi kwa sababu ilikuwa jambo mpya duniani ng’ombe alizaa ndama akiwa na kichwa kama mamba.

inka-2

Mwenyeji wa ng’ombe alikosa aseme nini kwa tukio hilo la ng’ombe yake kuzaa ndama yenye kuwa na kichwa kama kichwa cha mamba na sehemu zengine zikiwa za ng’ombe kawaida.

Ukitazama vizuri kwa picha ya ndama hio utawazia unaona mamba kwa sababu kichwa chake na mudomo ni kama mamba.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Raia mmoja wa sehemu hio ya Masaka alisema kwamba hawezi kujua chanzo kwa ajabu hilo cha ng’ombe kuzaa ndama ya kufanana mamba, ijapo kuwa ilikuwa mara ya nne ng’ombe akizaa, ila ndama za mwanzo tatu ni ng’ombe wazima.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com,chanzo:touchrwanda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.