kwamamaza 7

Ngoma:Vjana 10 wanaoshutumiwa dawa za kuleva wametiwa mbaroni katika msako

0

Pamoja na ngazi za usalama, wakaaji wa kiini ya Cyasemakamba, kata ya Kibungo, wilaya ya Ngoma, wijana 10 wametiwa mbaroni, wamoja walikuwa wanavuta katani, mmoja yeye amekubali kufanya biashara ya katani.

Kiongozi wa kiini Cyasemakamba, Baganizi Fredéric, waliwakamata kupitia taarifa walio pewa na wakaaji, na walijulisha kwamba vijana hao wanavamia usalama wao.

Wengi wao wamekubali kuwa wanavuta katani wengine wanafanya biashara ya dawa hio ya kulevya, mmoja wao alikamatwa akivuta katani na mara moja akameza.

Eti “ wanashinda wakizorota na kuiba na kunywa dawa za kulevya kama katani. Hao wote hakuna aliye kana shutuma hio, ila wao wenyewe kaanza kushotana kidole kwa ajili ya usambashaji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kinacho tiliwa mkazo ni kufundisha jamii ili watoto wao wasiweze kuunda kundi za ugomvi, uwizi ao kutumia dawa za kulevya, kwa sababu anaye ingia katika tabia hizo mbaya hutiya maisha yake katika hatari.

Katika kiini ya Cyasemakamba, kunasilikana sana ugomvi, uwizi na wavuta katani, na ni moja ya viini ambavyo vipo mjini wa wilaya ya Ngoma, na pamoja na uwasiliano mwema na ngazi za usalama yeyote atakaye kamatwa atafikishwa mahakamani kama vile sheria ya Rwanda husema. Hawa 10 waliokamatwa wapo kwenye stesheni ya polisi ya Kibungo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:imvahonshya

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.