kwamamaza 7

Ngoma: Watu 4 walikamatwa wakitengeneza pombe haramu

0

Tarehe 28 Januari 2017 katika wilaya ya Ngoma polisi ya Rwanda iliwakuta  Mvukiyehe Felicien, Samvura Vedaste ,  Hakizimana Emmanuel na Vatiri Sylvestre wakitengeneza pombe haramu na kuwatiya mbaroni.

Msemaji wa polisi jimbo la Mashariki, Inspector of Police (IP) Emmanuel Kayigi amesema kuwa wawili ni wa kiini ya Ndekwe, tarafa ya Remera, wengine wawili ni wa tarafa ya Murama, kiini yaRurenge.

Alisema kuwa Mvukiyehe na Samvura walikamatwa wakiwa na lita 25 za pombe haramu,  Hakizimana na Vatiri wao walikua na lita 10.

Siku hiyo moja pia polisi ya Rwanda katika wilaya ya Gicumbi, Huye na Burera, walikamata pia dawa za kulevya aina tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Burera walikamata lita 74 za pombe haramu, chupa 90 za African Gin na bokse 30 za Chief Waragi.

Gicumbi ilikua bokse 19 za African Gin, Huye ni lita 140 za pombe haramu ya aina ya Muriture.

IP Kayigi alitoa ujumbe na kusema ni uwajibu wa kila mtu kujilinda dawa za kulevya, atakaye kamatwa anaazibiwa na kufungwa pia garama, hakuna faida yoyote kwa wahusika.

IP Kayigi alisema pia kuwa wengi wanao fanya ugomvi na kupigana, ubakaji, wanaozini na watoto wanasukumwa na dawa za kulevya, anaomba kujiazali na kuzuia.

Mvukiyehe na Samvura wako kwenye sitesheni ya Remera, Hakizimana na Vatiri wakiwa stesheni ya Rukira, Mukeshimana akiwa stesheni ya Simbi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.