Rubona katika tarafa ya  Rukumberi kumeonekana tena uwizi wa bendera ya Nchi pamoja na kitambala cyenye kuwa na maneno ya kumbukumbu ya ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

Katika tarafa ya Rukumberi, kiini ya Rubona, kijiji ya Maswa II ndipo panajenngwa kumbukumbu la ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, wanatarajia kufanya ukumbusho sehemu hio mara ya 23 Juma pili tarehe 23 April 2017.

Kiongozi wa kiini ya Rubona, Nyandwi Jean damascene alisema kuwa alijua taarifa hio kutoka kwa mwenzake na kwa haraka alipiga mbio kwenda huko karibu saa nne na nusu. Hapo waliita wahusika na usalama na upelelezi ulianza ili kujua wahusika na tendo hilo mbovu, hadi sasa hawajatambua mhusika wa uwizi huo.

Mwaka jana tena katika kiini hiki waliiba kitambala cha ukumbusho cha mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi wakati kama huu wa kukumbuka na kwa mwishO walikikuta katika nyumba ya yule aliye kuwa kiongozi wa kiini siku hizo.

Uwizi huwa tena wakati Rwanda tupo katika tendo la kukumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi kwa mara 23, wamoja wakisema kuwa sehemu hio pangali itikadi ya mauaji ya Kimbari.

Kanda hano ujye ubona amakuru yihuse kandi kugihe kuri Facebook no kuri twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.