Nambaje Aphrodise, kiongozi wa wilaya Ngoma amepokea viapo ya viongozi 3 wa tarafa jana tarehe 10 Mach 2017 na aliwaomba kufanya kazi katika mwangaza na kujitoa.

Viongozi hao walio pewa majukumu ya kuwa viongozi wa tarafa ni Singirankabo Jean Claude aliyepewa kuongoza tarafa ya Zaza, Rubwiriza Jean d’Amour alipewa kuongoza Karembo, na Rutagarama Jean de Dieu aliyepewa kuongoza kata ya Gashanga katika wilaya ya Ngoma.

Waliopewa majukumu mapya walihakikisha kutumika kwa bidii na mwangaza wakihamasisha maendeleo ya raia na kutoa huduma safi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wilaya ya Ngoma huundwa na tarafa 14 pakiwemo tarafa ya Zaza, Karembo na Gashanda ambazo hupewa viongozi wapya na kwa muda murefu ilikuwa ikiongozwa kwa muda na wafanya kazi wanao husika na uongozi na uchumi pamoja na mwenye jinsia wa tarafa ya Zaza.

Hao viongozi wapya 3 waliopewa majukumu walichukuwa nafasi ya viongozi ambao waliandikia uongozi wa wilaya wakiomba kuacha huduma na mwisho ombi lao lilikubaliwa.

Raia waliopewa viongozi wapya wapya hitaji lao ni ili viongozi wapya walete wabadiliko kwa kuzua maendeleo na kusamini mafikara ya wakaaji kwani ndio msingi wa yale watakao yafikia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.