kwamamaza 7

Ngoma: baada ya kuchomwa akiwa nyumbani kwake, Iragena Venancia anaomba uongozi kujali swala lake

0

Usiku wa tarehe 2 ukielekeza 3 Mei 207, katika kiini cha Ihanika, Kijiji cha Umuka, tarafa ya Jarama, wilaya ya Ngoma jimbo la Mashariki, Iragena Venancia, alikutwa nyumbani kwake akiwa pamoja na mujukuu wake wakachomwa kwa moto na watu ambao hawajulikane, hivu yupo katika kituo cha afiya Kigali, na anaomba uongozi kufuatlia swala hilo.

Akieleza kuunguzwa kwa nyumba karibu saa saba za usiku

Siyo ya kuchomwa kwa nyumba, anasema kwamba mchana wa siku hio aliwaona watu wakizunguka mahali hapo, ila  hakujali alifikilia ni kawaida na hakujua mpango wao. Eti, “mimi nililala, saa saba za usiku nikasikia kusambuka kwa kitu na ilikuwa tivi yangu, nikaona nyumba yote inawaka moto, na sijue jinsi Mungu alinitoa nyumbani, nilijikuta inje”. Aliendelea na kusema kuwa mwili wake wote ulichomwa.

Iragena na uzaifu wa mwili anasema kuwa wamemutiya ulemavu na mambo yake yaliharibiwa, taarifa humufikia na kusema kwamba mtu mmoja alikamatwa na anahitaji na wengine kutafutiwa na kuazibiwa.

Murisi Japhet, katibu tendaji wa tarafa ya Jarama, kwenye maongezi na bwiza.com, husema kuwa taarifa hio kuwa kweli, kwa kuwa Iragena alichomwa kwa moto akiwa nyumbani kwake na anasema kuwa swala hilo lipo katika wakaaji kwa kufikiliana peke yao na polisi huendelea na upelelezi.

Inspector of Police (IP) Emmanuel Kayigi, msemaji wa plolisi yeye husema kwamba Iragena alifanyiwa maovu na wahusika walipangilia kumuua kwa kuchomba nyumba yake yote.

Eti: “huonekana kuwa walipangilia kumuua, kulifikiliwa watu wawili, mmoja alikamatwa mwengi alitoroka, kwa sababu kuna walio waona wakiuza mavuta ya kuchoma na mahali walipo nunua panajulikana”.

Dusabimana Emmanuel anaye julikana kwa jina la Kapalata ndiye aliye kamatwa na yupo kwenye stesheni ya polisi ya Sake na yupo katika miongoni mwa mahakama, aliye toroka anaendelea tafutishwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Iragena Venancia, aliyefanyiwa maovu ni mzazi wa umri wa miaka 56, mumewe aliitwa Munyankindi Emmanuel, walizaa watoto 8, wanaishi wilaya ya Ngoma, kabla walikuwa wakiishi katika wilaya ya Gakenke, tarafa ya Muhondo, na hivi walikuwa wakidumu miaka 30 hapo Ngoma mahali nyumba yao ilichomwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.