kwamamaza 7

Ngoma: Atakaye vuta sigara hazarani atatoa garama ya pesa za Rwanda 5000

0

Kwa ajili ya kuzingatia afya ya wakaaji, uongozi wa wilaya ya Ngoma wameamua kuazibu wanaovuta sigara hazarani kwenye kuwa watu, na watakuwa wanatoa garama ya pesa za Rwanda 5.000.

Maamzi hao yaliamriwa wakati wa kikao cya washauri wa wilaya hata kama wamoja walibisha kwa sababu hakuna nafasi iliyo tayarishwa kwa ajili ya wavuta sigara.

Wavuta sigara wa Ngoma wanasema ni vigumu kuacha utumiaji wa sigara kwa sababu walitumia tangi zamani za kale, wengine hutumia kama dawa, na wengine wanajiuzuru kwa sababu hawavuti wakiwa katikati ya watu ili kuzuia matokeo mabaya kwa wale wasio vuta.

Raia mmoja wa Kibungo ambaye hakutaka jina lake lijulikane amesemaya kwamba aliaanza kuvuta tangu mwaka wa 1968, na hakuna hata siku moja hakuvuta sigara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Eti “sigara imenifanya mtume, nikakosa sigara nakosa amani, hata chakula naweza kuacha, sigara naomba hata mpita njia, mara nyingi nikivuta nakwenda kando ya watu ili nisiwasumbue, kuacha kuvuta nimeshindwa”.

Niyigena Casien mwenye umri wa miaka 24 wa wilaya ya Ngoma, yeye anasema hata kama yeye havuti, kuna watu ambao hawaogopi kuvuta wakiwa kati ya watu wasio vuta, njiani na mahali pengine na huwasumbua watu.

Kama uongozi umeamua kuazibu wanao vutia hazarani, huenda watapunguka, ila wanavutia mahali pote wanapo penda.

Banamwana Bernard, mmoja wa viongozi katika wilaya anasema ya kuwa kila kiongozi anaombwa kuwafundisha kujiepusha na kuvutiya hazarani kwa kua matokeo ni mabaya kwa afya, na atakaye kwenda kinyume na hayo atazibiwa.

Umoja wa mataifa unao husika na afya (OMS) huonyesha ya kwamba moshi wa sigara hua na matokeo mabaya kwa kila yeyote anaye pumua, awe mvutaji ao apana, huleta magonjwa kama kansa, mafua na moyo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com,chanzo:imvahonshya

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.