kwamamaza 7

Ngazi za msingi waliambiwa umuhimu wa raia katika uongozi

0

Pamoja na OXFAM kwenye mafundisho ya siku mbili yalio andaliwa na uongozi wa wilaya ya Gakenke kwa ajili ya viongozi wa vijiji vya kata ya Busengo na Mataba wakiwa pamoja na viongozi wa kata hizo waliombwa kuwa karibu na raia wakiwafasiria haki zao kuhusu maendeleo.

Seraphine Sifa mfanya kazi katika kituo cha taifa kuhusu uongozi bora (RGB) alisema ya kuwa raia awe wa muhimu katika maendeleo ya nchi sherti afuate vitu vitatu, uongozi unaotumikia katika mwangaza huwasaidia raia kukamata maamzi, namna bora ya kutoa taarifa kati ya raia na viongozi, hali ya kujulisha raia majukumu yao na viongozi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi makamu wa wilaya anaye husika na maisha bora ya raia, Bi Uwimana Cathèrine aliomba walio fuata mafundisho kuwa mfano kwa wengine wakiwa na usafi kwa miili yao hata nyubani kwao.

Nizeyimana Etienne kiongozi wa kijiji cha Busengo alisema ya kwamba wameamua kufanya na kutoa huduma njema kwa ajili ya raia bila kuwaacha kuchelewa njiani kwani ndio msingi wa serikali kama vile husema utangazaji wa habari za wilaya Kakenke.

Walio fuata mafundisho waliamua kufanya iwapasavyo wakihudumia raia vema na kuwaambia haki zao ili kujenga nchi yenye uongozi, wakitafuta faida ya ujumla, kupiganisha na kuzuia rushwa na kutafuta suluhisho wenyewe.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.