kwamamaza 7

Neymar Jr ashtakiwa ubinafsi na mashabiki wa PSG

0

Mshambuliaji wa Klabu ya PSG, Neymar Jr jana usiku ameshinda magoli manne ila mashabiki wa Paris Saint Germain wamemzomea kwa kumshtaki kuwa  mbinafsi kupita kiasi.

Mashabiki wameanza kumzomea baada ya kukata kumuachia mshambuliaji mwenzake Edinson Cavani ambapo kama angeshinda penati hiyo basi angekuwa ndiyo mchezaji mwenye magoli mengi katika historia ya klabu hiyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Cavan ambaye mpaka sasa ana magoli 156 aliyoifungia klabu hiyo yupo sawa na mfungaji wa muda wote wa PSG, Zlatan Ibrahimovic ambaye naye ana magoli 156.

Kwenye mchezo huo wa jana PSG walishinda goli 8-0 dhidi ya vibonde klabu ya Dijon, mchezo huo ulikuwa ni wa Ligi kuu nchini Ufaransa (League 1) .

https://youtu.be/M3WsF0ZYNZo

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.