kwamamaza 7

New Zealand:Mbunge alaumiwa juu ya kuwa mwanasheria wa wahalifu wa mauaji ya kimbali nchini Rwanda

0

Mbunge Golriz Ghahraman ambaye anawakilisha chama cha Green Party bungeni nchini New Zealand analaumiwa na wenzake juu ya kuwakilisha kisheria watuhumiwa wa mauaji ya kimbali kwenye mahakama ya Arusha,Tanzania.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baadhi ya wanaomulaumu kuna mwenzake Phil Quin anayemulaumu Ghahraman kuwa mwanasheria wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ambao walikuwa na wanasheria wengine zaidi ya mmoja.

Ghahraman alipokuwa mahakamani Arusha mwaka 2008

Kwa mjibu wa newsroom.co.nz Phil Quin anapendekeza mbunge Ghahraman aulizwe kuhusu jambo hili.

Pia Phil Quin anamulaumu Ghahraman kuzuia jambo la kuwatuma nchini Rwanda raia wa Rwanda wawili wanaotuhumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbali waliokimbilia nchini New Zealand.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwingine aliyemulaumu ni aliyekuwa mwanadiplomasia wa New Zealand mwaka 1994 kwenye Umoja wa Mataifa(YUNA),Colin Keating aliyesema kuwa uamuzi wake Ghahraman uliharibu jina lake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mbunge Ghahraman angali baadhi ya wanasheria 200 waliotumwa  na Umoja wa Mataifa kwenye misheni ya kuwa wanasheria wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali nchini Tanzania ila yeye a alijitolea kwa kupata  uzoefu,jambo ambalo wanapendekeza angeliutafuta kupitia njia nyingine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.