kwamamaza 7

Ndugu 3 wa familia kikatoliki wazama ziwani Muhazi, 2 wafariki

0

Ndugu watatu kwa kifamiliya katoliki ambao walikuwa wanaishi wilayani Gasabo, kata ya Gikomero; walitumbukia ziwani Muhazi walipokua wanavuka na wakielekea ngamo katika kata ya Bukure, wilayani Gicumbi na wawili wamefariki wakati mmoja aokoka.

Msemaji wa polisi ya Rwanda, ACP Theos Badege amesema kwamba walikua wakisafiri kwenda kwenye matibabu, ila walitumia mashua ya kiasili.

ACP Badege amehakikisha na kusema kwamba dhoruba ilikuwa nyingi na ikawazidisha nguvu. Utumbukiaji wao ulijulikana mwanzoni mwa wiki hii, pamoja na raia maiti ilipatikana jana juma tano.

[ad id=”72″]

Waliofariki ni Hafashimana Diogène pamoja na Nsengimana Abraham, ila aitwaye Uwihanganye Lambert aliokoka maisha  na angali hai.

ACP Badege ameomba na kusihi raia ambao wanaishi karibu ya maji makubwa, mito kutumia mashua za kisasa na kukumbuka kuvaa vazi za kuwasaidia wakati wa ajali ‘LIFE JACKETS’.

Ingabire Fidelle kiongozi wa kata ya Gikomero amesema kwamba hata kama hawa marehemu walihitaji kuvuka ili kwenda kutafuta matibabu ngambo na hapo karibu yao kuna kikao ya matibabu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.