[ad id=”72″]

Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wenye kusimamiya nchi zao Rwanda wametembelea ngazi ya utangazaji habari Rwanda na wakafurahia namna serikali ya Rwanda kuwapa uhuru wa utangazaji habari.

Kwenye maongezi na balozi wa Ubelgiji, Ufaransa, Ujerimani, Uholanzi, Swiden, Uwingereza pamoja na kamati ya Utangazaji habari RMC wamesifu utangazaji habari wa Rwanda kwa hali ya kujichunguza wenyewe na namna ya kutovamia wakati wa uchaguzi.

Kwenye taarifa eti “ Tunafurahiya kukutana va viongozi wapya wa RMC ambao wamefanya mwezi mmoja wakiteuliwa, tumayasikiya yale ambayo wanatarajiya kuyafanya na maendeleo ya utangazaji habari wanao jichunguza wenyewe, wenye kupambanao na vikwazo tofauti ”.

Pamoja na kamati ya RMC mabalozi hao waliwaambia namna serikali  Rwanda hutia nguvu na kutii mkataba wa Jeneva wa kuondo kila tatizo ambalo laweza kusumbu utangazi habari.

Kiongozi wa RMC, Cleophas Barore amewaambia mabalozi hao kua uchaguzi wa rais ambao hutarajiwa mwezi Agasti 2017 watangazaji habari watasimamiwa na watatangaza taariza za ukweli bila kuvamia.

Ameshukuru umoja wa Ulaya (EU) kwa msaada wa nchi Rwanda na utangazaji habari kwa hali tofauti na kuongezea elimu watangazaji habari.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.