kwamamaza 7

Nchi Rwanda na Ingabire Victoire katika mahakama ya haki za binadamu haraka sana

0

Mahakama ya Afrika kuhusu haki za binadamu na wakaaji wanajiandaa kusikiliza masambo ya Rwanda ilishutumiwa ijapo kua Rwanda inajitayarisha kutengana na mahakama hayo.

Mwezi Mechi inatarajiwa Rwanda kufika mbele ya mahakama baada ya kushitakiwa na mwana siasa, Victoire Ingabire aliye shitaki na kusema Rwanda kafinyanga haki zake kama mwana siasa, hata kama binadamu.

“Swala la Ingabile litasikilizwa hazarani tarehe 17 Mechi 2017” haya yametangazwa na katibu wa mahakama Dr Robert Eno.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Ingabire Victoire, ni kiongozi wa chama FDU-Inkingi, alishitaki Rwanda na kusema kuwa Rwanda ilifiinyanga haki zake wakati alipo azibiwa kufungwa miaka 15, na anaomba kufunguliwa.

Musemaji wa Ingabire ameomba mahakama kupinga maamzi ya mahakama makuu ya Rwanda, waliomusambisha na kumuazibu kufungwa miaka 15, na anaomba mahakama ya Afrika kuhusu haki za binadamu kumuachilia huru kama vile husema gazeti la The East African.

Mwanasheria Dr Caroline Buisman wa Ingabire Victoire, amesema kua Ingabire kwamba mahakama makuu ya Rwanda haikufanya ipasavyo na kushutumiwa itikadi ya mauaji ya kimbari , pia naye huomba kumuachilia huru (The East African).

Mwanasheria huu alifukuzwa Rwanda mwaka jana mwezi Mei, kwani aliingia Rwanda kinyume na sheria na anasema kuwa maandalizi huenda vizuri ijapo kuwa hajamuona Ingabire uso kwa uso.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.