kwamamaza 7

Nchi ambazo husaidia M23 zinazulumiwa

0

Kundi ambalo huhusika na usalama, kidemokrasia na haki za binadamu (CEPADHO), walizungumzia usalama wa DRC ambao hutikiswa na wapiganaji, wakirudiria M23 ambao hushambulia siku kwa siku na nchi ambazo huwatia nguvu.

Hayo yalitangaziwa mawaziri wa mawasiliano na kimataifa wa nchi ambazo huunda jamii SADEC, katika mkutano ulio fanyika tarehe 24 Februari 2017 mjini Dar-es-Salam Tanzania.

Omar Kavota, kiongozi mkuu wa CEPADHO, alirudilia kundi la wapiganaji wa ADF kutoka Uganda, FDLR kutoka Rwanda, M23 na Maï-Maï, alisema ya kuwa kundi hizo ndicho chanzo cha usalam mbovu katika eneo la mahali.

Katika mkutano huo waligusiya nchi jirani ya Congo ambazo hupita kinyume na mkataba wa Addis Ababa na kuzarau yaliyo semwa na kutia nguvu wapiganaji wa M23 kama vile husema radio Okapi.

Hata kama hakuna nchi ambayo ilishotwa kidole, mkataba wa Addis Ababa (Accord cadre d’Addis Abeba) ulisainiwa tarehe 24 Februari 2013 na lengo ilikuwa kurejesha amani katika Jamhuri ya Kimokrasia ya Congo katika eneo la maziwa makuu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.