kwamamaza 7

Nakabonye Jeannette afariki akiondolewa mimba

0

Jana jumatano ndipo taarifa ilitoka na kusema kwamba Nakabonye Jeannette amefariki pamoja na mtoto aliye kuwa tumboni mwake wakati alikua akitoshwa ujauzito na mke mwenzake nyumbani kwa njia ya kyenyeji.

Mke huyu alikua mkaaji wa kata ya Gatore, alifariki akiwa kwa mke huyu anayeishi katika kata ya Murama ambaye raia husema alikua na uzoefu wa kutosha mimba za wake wenzake.

kiongozi Ufitikirezi Collette amehakikisha kwamba taarifa hiyo ni kweli kama vile huripoti imvaho nshya, eti Nakabonye Jeannette alikua na ujauzito wa mwezi moja na alikua akibeba mtoto mwengine wa miezi sita mgongoni.

Yawezeka kua mke huo alifariki juma tatu kwani hio siku ndipo alikwenda kumutazama mwenzio ili amutoshee mimba aendelee na kunyonyesha Yule aliye kua mgongoni, taarifa husema kwamba alipofanyiwa hayo alipatwa na maumivu makali sana usiku kutwa hadi jumane na akafariki.

Nakabonye Jeannette alifariki akijaribu kuondoa ujauzito na taarifa husema kwamba katika mkoa huu wa mashariki husemwa wanawake ambao huiba na huibiwa watoto, yawezekana kuwa katika jimbo hilo huwa na tatizo la wazazi wa kike.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.