kwamamaza 7

Mwitende Ladislas ameazibiwa kufungwa miaka 7 na kulipa miliyoni 430

0

Mahakama ya Gasabo mjini Kigali yamemuhukumu Mwitende Ladislas kufungwa miaka 7 na kulipa miliyoni 430 pesa za Rwanda.

Mwitende alikuwa kiongozi wa kampuni “Top Service Ltd” na ilihusika kuitisha mbolea na kuwapa wakaaji wa jimbo la Kasikazini ya nchi.

Mwitende Ladislas alitiwa mbaroni mwezi Mei 2016 na alishutumiwa kufanya wizi, kufanya vikaratasi haramu, na kujitafutia faida kinyume na sheria, na hayo makosa aliyafanya kati mwaka wa 2013 na 2016.

Husemwa ya kuwa mufanya biashara huo alitenda hayo akiwa na lengo la kuomba wizara ambo huhusika pesa zaidi mno zipatazo miliyoni 430.

Mahakama husema ya kuwa washahidi walionyesha ya kuwa Mwitende alikuwa akileta mbolea kutoka nchi za mbali na kuwafikishia wakulima wa jimbo ya Kaskazini na Mangharibi, ila vibali ya wakulima vilikuwa tofauti na vibali ambavyo Mwitende alibaki navyo na ndivyo alikuwa akionyesha wizara ya ukulima na ufugaji wakati wa malipo.

Mwendesha mashtaka alisema ya kuwa Mwitende kupitia kituo Top Service Ltd, alifanya orodha ya uongo na yote ilikuwa kutafuta faida zaidi mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mahakama husema ya kuwa washahidi wakiwa wakaaji na wafanya biashara wa jimbo la Kaskazini, wote wanasema ya kuwa wakati walikuwa wakija kulipisha walikuwa wakipewa orodha nyingine ya mbolea, na wakati wa malipo wizara ilikuwa ikipewa orodha yenye watu wengi.

Washahidi wanaendelea na kusema ya kuwa kuna wakati kwenye orodha walikuwa wakipewa kilo 10 na wakati wa kwenda kulipisha wizara kiongozi wao anaongeza zero moja na inakuwa kilo 100.

Mfanya biashara huo yeye anakanusha na kukana makosa yote anayo shutumiwa alisema ya kuwa hata siku moja alifanya orodha, akisema orodha zilikuwa zikifanywa na viongozi wa msingi na wafanya biashara wadogo ambao walihusika na kuwafikishia wakulima.

Mahakama iliamua na kusema ya kuwa Mwitende atafungwa miaka 7 na kulipa pesa ya Rwanda 430.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:izubarirashe

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.